Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulegeza mwendo ni vibaya sana
sana sana utaweza kupata ajali
Ajali haina kinga, HOE pole kwa majanga aisee.
Majanga ya kuvamiwa na vibaka. Pole kwa kunusurika
Kunusurika ilikuwa bahati.....namshukuru Mungu
Mungu ni mkubwa na ndio muweza wa yote
yote yanawezekana kwake ndio maana wale vibaka hawakunitoa roho
Roho ya binadamu mwenye mamlaka nayo ni Muumba wetu pekee..
pekee ndio ajuae yetu saa na siku
Siku ya kuitoa na kuitwaa ana ijua kabla ya kutuumba..
Kutuumba sisi wanadamu Mungu alianza na Adam na Hawa
Hawa alikuwa mtiifu kwa kila amri ya MUNGU,..lakini moja.
Moja ndio iliomshinda
Rahisi kwako wewe
Wewe ungekuwepo kwani ingekuwaje
ingekuwaje Zitto Kabwe angekuwa rais