Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Pili ni jirani yetu hapa nyumbani kwetu
kwetu pazuri nimeshapakumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pili ni jirani yetu hapa nyumbani kwetu
Sio huyu smiling boy....
boy wapi acha kuharibu mpangilio watu tunasaka ushindi
Mmemaliza ujinga wenu?
Mazuri tuu, sema watu wanafikiria ushindi na kuharibu mchezo wetu kwani?
Mazuri tuu, sema watu wanafikiria ushindi na kuharibu mchezo wetu kwani?
nini kimeharibika kwani?
zao binafsi zimewashinda za nchi wataziweza?
wataziweza? hapana kwani wao muda mwingi wanafikiria namna ya kutunyonya, maisha magumu sana, tutafika?