Wa mwisho ndiyo mshindi

kufanikiwa hapa ni kazi watu wanaharibu sheria za mchezo, ukiona unaandika kilichonje ya mchezo tunaomba ukiweke ndani ya mabano tafadhari kama hivi ()
 
mjadala unaharibiwa na akina Omygad maana wanajifanya hawajui sheria za mchezo, ukitaka kutulingishia jina lako tumia ()
 
Last edited by a moderator:
Mungu huyo huyo mnatakiwa mmuheshimu sio muna mchanganya kwenye mambo yakipuuzi
 
Taja mambo yote ila Mungu ndo mwanzo na mwisho

Sent from my BlackBerry 9780using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…