Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Serikali tatu ndo mfumo gani?kwani nini kimeshindikana mpaka tutumie serikali tatu?.Sasa kama mbili mambo yako hivi je tatu?,Nikitaka viza kusafiri nje si itamaliza mwaka?
Mwaka kesho ni uchaguzi, hapo zitajulikana mbivu na mbishi, nakushauri usiombe visa kusafiri nje.
 
Mwaka kesho ni uchaguzi, hapo zitajulikana mbivu na mbishi, nakushauri usiombe visa kusafiri nje.

Kusafiri nje ndio maisha yangu,yaani ni kama wew kwenda kazini kila siku asubuhi.
 
Kusafiri nje ndio maisha yangu,yaani ni kama wew kwenda kazini kila siku asubuhi.
asubuhi kuamka kila siku kwenda kazini nimeshaga acha longi baada ya kuugawa mshahara wangu kwa idadi ya siku za mwezi, aisee nilitaka kudata nikaamua kumwaga manyanga.
 
asubuhi kuamka kila siku kwenda kazini nimeshaga acha longi baada ya kuugawa mshahara wangu kwa idadi ya siku za mwezi, aisee nilitaka kudata nikaamua kumwaga manyanga.

Manyanga ya nini jukwaani hapa ungeyazoa mwenyewe...
 
patimu au patamu? we Paula kilaki au paula kimillion mbona unazingua dada
 
Last edited by a moderator:
yangu yangu mwenyewe.. kioju utawaweza kweli kina Heaven o earth na FUSO
FUSO ni gari linaloweza kupita kokote kule, hata ndani ya msitu linakatiza tu!! kushindana nalo ni kujichosha, Heaven na wewe umeingia kwenye kinyanganyiro?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom