Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

FUSO ni gari linaloweza kupita kokote kule, hata ndani ya msitu linakatiza tu!! kushindana nalo ni kujichosha, Heaven na wewe umeingia kwenye kinyanganyiro?

Kinyanganyiro? Hilo neno ni geni kwangu nachojua ni kinyang'anyiro na atapata kioju
 
Last edited by a moderator:
Kinyanganyiro? Hilo neno ni geni kwangu nachojua ni kinyang'anyiro na atapata kioju
kioju acha mbwembwe zako!! cha msingi tule iddi kesho na kesho kutwa ili alhamisi tuendeleze hili libeneke.
 
gani? libeneke ni likiswahili la mwanajamvi Issa Michuzi
 
Serikali mbilu au tatu...haturudi bungeni maka tujadili rasimu ya Warioba
 
warioba Sinde.. namkubali sana mheshimiwa huyu
 
Mafanikio ya ccm yameletwa na ujinga na umaskini wa watanzania

Umaskini wa tanzania umepikwa hapa hapa mjini

Amekufa Mtanzania yeyote anyamazaye sehemu yenye ukandamizaji na ubadhirifu wa kodi za wavuja jasho maskini.
 
Wangu umejitahid kuweka kitisho ila huo ni mkwara wa nyau kutishia kutoa makucha, mi ndo nshakoment na sina pete kidolen
 
Back
Top Bottom