Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jioni ndio mida yetu,anapafahamu nyumbani maana ni kwake. Namsubiri kwa hamu japo atakuwa amechokwa kwa kutembezwa kwa miguu.
Miguu yangu ni ya kikomando inauwezo wa kutembea mengi ma kilometre, ila yy nilikua nae kwenye gari ili asichoke
Asichoke kwa ajili yetu baadae usiku.Asante mkuu kwa ushirikina wako,tayari amerejea home salama.
Mkuu b5-Click na Mkuu Pepsin tutangaze washindi ni sisi watatu
Habari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)