Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Muda wa kipindi cha pili niliwapenda juve, sema wakajichanganya kweny zile sub.
 
Jioni ndio mida yetu,anapafahamu nyumbani maana ni kwake. Namsubiri kwa hamu japo atakuwa amechokwa kwa kutembezwa kwa miguu.
Mwana ninae huku, tunasherehekea ubingwa wa UEFA huko atakuja jioni
 
Last edited by a moderator:
Jioni ndio mida yetu,anapafahamu nyumbani maana ni kwake. Namsubiri kwa hamu japo atakuwa amechokwa kwa kutembezwa kwa miguu.

Miguu yangu ni ya kikomando inauwezo wa kutembea mengi ma kilometre, ila yy nilikua nae kwenye gari ili asichoke
 
Asichoke kwa ajili yetu baadae usiku.Asante mkuu kwa ushirikina wako,tayari amerejea home salama.
Miguu yangu ni ya kikomando inauwezo wa kutembea mengi ma kilometre, ila yy nilikua nae kwenye gari ili asichoke
 
Gani ndio nini wakati ulidai umeshinda nae? Kumbe huna lolote.Mwana una hekima na busara sana and thats why I real love you baby.
Watatu wengi sana, wa kwanza Ww,, wa pili Mimi wa tatu pepsin.. U hali gani Mwana
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaJF,

Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

Zaidi ya nilivyotarajia nchi ya kenya imeboresha usafiri wao.
 
Back
Top Bottom