007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
Wachangiaji mbona tupo wengi .Unayumba kwa sbb hakuna wachangiaji...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachangiaji mbona tupo wengi .Unayumba kwa sbb hakuna wachangiaji...
Lenie anaweza kuwa na macho mazuri Sawa,ila akiyafikicha tu naye atashindwa kuona neno 'uzi huu unayeya'
Lenie anaweza kuwa na macho mazuri Sawa,ila akiyafikicha tu naye atashindwa kuona neno 'uzi huu unayeya'
Sana kama jiwe la kurushwa kwa manati
Ndege wangu mzuri kama tausi, usipotee sana, nisipokuona huwa sijiskii
Ndege wangu mzuri kama tausi, usipotee sana, nisipokuona huwa sijiskii
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Lenie anautesa sana moyo wako, hebu sema nae uuponye mtima wako
Wako katika ujenzi wa taifaLenie anautesa sana moyo wako, hebu sema nae uuponye mtima wako
Taifa linampenda Lenie, lakini kama haoni vile
Taifa linampenda Lenie, lakini kama haoni vile
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
tu souffriras beaucoup
tu souffriras beaucoup
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
T'aime No understand ni bora lugha ya taifaaime qui t'aime
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Taifa lipo nyuma sana kwenye sekta ya uchumiT'aime No understand ni bora lugha ya taifa