Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Haifai upambane kwa ajili ya kitu kisicho na maana
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haifai upambane kwa ajili ya kitu kisicho na maana
Haifai upambane kwa ajili ya kitu kisicho na maana
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Maana yatupasa tupambane leo ili tuwe na kesho nzuriHaifai upambane kwa ajili ya kitu kisicho na maana
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Kufanikiwa hakuna formula
Nzuri ni hela tu
Kingine kwa mbaaali labda chura
Kitu chenyewe hasa kiwe mnato
Vipi kwanza kama nikajua wewe ni me au ke
Sasa haya mengine yanapendeza zaidi kudiscussia PM
PM sio, mambo hadharani ndo mpangoSasa haya mengine yanapendeza zaidi kudiscussia PM
Mpango wa PM ni wa kijasusi ili watu wasilete husda
Husda lazima, si unajua wabongoMpango wa PM ni wa kijasusi ili watu wasilete husda
Husda na kijicho nitakupiga navyo kama utaamua kumchukua huyo mrembo macho mazuri na kumpeleka pmMpango wa PM ni wa kijasusi ili watu wasilete husda
Wabongo msiniharibie move jamani, mpaka kikieleweka mimi na lenie ndiyo mchangie
Wabongo msiniharibie move jamani, mpaka kikieleweka mimi na lenie ndiyo mchangie