Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoano imenasa Sangara...!!Ndoa ndoano
Mbichi Supaman karibu ulighibu
Nini maana ya ulighibu? Au ni ulabu?
Ulabu ni mzuri sana hasa kipindi hiki cha sikukuuNini maana ya ulighibu? Au ni ulabu?
Sikukuu imeambatana na mvuaUlabu ni mzuri sana hasa kipindi hiki cha sikukuu
Mvua ni nzuri kipindi hiki cha corona watu hawata tembea tembea ovyo kusambaza ugonjwa watabaki ndani tu.
Tu ni namna ya kuonesha msisitizo kutokana na hali yenyewe ilivyo au itakayokuwa. Hata hivyo mimi sitabaki ndani kwani nitakuwa ninaota jua Mng'omangoMvua ni nzuri kipindi hiki cha corona watu hawata tembea tembea ovyo kusambaza ugonjwa watabaki ndani tu.
Mng'omango ukitoa 'M' na 'ng'o' unabaki na mango, halafu 'ngo' ukiileta mbele na 'ma' ikabaki nyuma unapata neno ngomaTu ni namna ya kuonesha msisitizo kutokana na hali yenyewe ilivyo au itakayokuwa. Hata hivyo mimi sitabaki ndani kwani nitakuwa ninaota jua Mng'omango
Mng'omango ukitoa 'M' na 'ng'o' unabaki na mango, halafu 'ngo' ukiileta mbele na 'ma' ikabaki nyuma unapata neno ngoma
Nazipenda sanaNgoma za kizaramo nazipenda
Ugali ni chakula maarufu
Ugali ni chakula maarufu
Maarufu kama Jiji la Dar es SalaamUgali ni chakula maarufu
Dar es salaam jiji la biasharaMaarufu kama Jiji la Dar es Salaam