Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mvua ni nzuri kipindi hiki cha corona watu hawata tembea tembea ovyo kusambaza ugonjwa watabaki ndani tu.
Tu ni namna ya kuonesha msisitizo kutokana na hali yenyewe ilivyo au itakayokuwa. Hata hivyo mimi sitabaki ndani kwani nitakuwa ninaota jua Mng'omango
 
Tu ni namna ya kuonesha msisitizo kutokana na hali yenyewe ilivyo au itakayokuwa. Hata hivyo mimi sitabaki ndani kwani nitakuwa ninaota jua Mng'omango
Mng'omango ukitoa 'M' na 'ng'o' unabaki na mango, halafu 'ngo' ukiileta mbele na 'ma' ikabaki nyuma unapata neno ngoma
 
Back
Top Bottom