manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
lakini Haifungiki mbona una ashuo sana nishakuambia usipost MI NDO MSHINDIPole lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini Haifungiki mbona una ashuo sana nishakuambia usipost MI NDO MSHINDIPole lakini
Mshindi wa BSS hivi alishalipwa?lakini Haifungiki mbona una ashuo sana nishakuambia usipost MI NDO MSHINDI
Yake yake na yakwako yakwako
Kiu ya haki?
Haiombwi Dua mbaya ya kumfika mtoto...!!
Mtoto wangu wa kike anajua kusoma na kuandikaHaiombwi Dua mbaya ya kumfika mtoto...!!
Kuandika habari ndefu kunachosha aisee asikuambie mtu.
mtu wa kwanza kabisa kuchangia katika uzi huu pale ulipowekwa humu jamvini ajitokeze ili nimpongeze kwa kumwambia "ULI NDUME CHIMALI WEJASU"Kuandika habari ndefu kunachosha aisee asikuambie mtu.
Wejasu ni kilugha hapa ni kiswahili ndiyo mtawalamtu wa kwanza kabisa kuchangia katika uzi huu pale ulipowekwa humu jamvini ajitokeze ili nimpongeze kwa kumwambia "ULI NDUME CHIMALI WEJASU"
Mtawala wa Sasa yupo chato.Wejasu ni kilugha hapa ni kiswahili ndiyo mtawala
chato ya sasa sio ile ya zamani inavutia kama singapore
Singapore ikasome mzee...sipati picha kama mzee wa chato angekuwa ndo yule wa butiama!!!chato ya sasa sio ile ya zamani inavutia kama singapore
Butiama alizikwa baba wa taifaSingapore ikasome mzee...sipati picha kama mzee wa chato angekuwa ndo yule wa butiama!!!
Taifa letu liko kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa hatariButiama alizikwa baba wa taifa
Hatari kweli kweliTaifa letu liko kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa hatari
kweli siku hizi imekuwa adimuHatari kweli kweli