Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Yatatumaliza mazoea ya kukaidi...Kabisa kabisa matatizo ya kupumua yatatumaliza
Idd el-fitri imewadia wakati Covid19 inakatiza ladha !!Kukaidi kutatufanya tusifaidi mpaka siku ya IDD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatatumaliza mazoea ya kukaidi...Kabisa kabisa matatizo ya kupumua yatatumaliza
Idd el-fitri imewadia wakati Covid19 inakatiza ladha !!Kukaidi kutatufanya tusifaidi mpaka siku ya IDD
Wakati huu ladha imebakia huku ndani ya nyumbani watu wakijivinjariYatatumaliza mazoea ya kukaidi...
Idd el-fitri imewadia wakati Covid19 inakatiza ladha !!
Wakijivinjari tu na kusahau kunawa mikono kwa vitakasa mikono na maji yanayotiririka basi na kale kaugonjwa hakatawaangusha.Wakati huu ladha imebakia huku ndani ya nyumbani watu wakijivinjari
Hakatawaangusha siku zote madamu wanatii maelekezo bila shuruti..Wakijivinjari tu na kusahau kunawa mikono kwa vitakasa mikono na maji yanayotiririka basi na kale kaugonjwa hakatawaangusha.
Shuruti kama zile anazopata kuruti?Hakatawaangusha siku zote madamu wanatii maelekezo bila shuruti..
Kuruti na shuruti hayo maneno yote yameishia na ti
Tii amri na wala usihoji...!!Kuruti na shuruti hayo maneno yote yameishia na ti
Chumvi imemwagika
Imemwagika haizoleki tena bora pangusa..Chumvi imemwagika
Pangusa ili wadudu wasijae hapoImemwagika haizoleki tena bora pangusa..
Hapo sasa naona mnafanya utani kwani huku kwetu ukitaja neno "pangusa" hadharani utasababisha mitimbagoPangusa ili wadudu wasijae hapo
Mitimbago ndo nini yakheHapo sasa naona mnafanya utani kwani huku kwetu ukitaja neno "pangusa" hadharani utasababisha mitimbago
Yakhe, daaahh mepata tabu sana kuliandikaMitimbago ndo nini yakhe
Kuliandika siyo hoja muhimu ulielewe !!Yakhe, daaahh mepata tabu sana kuliandika
Ulielewe ili ujue matumizi yake sahihiKuliandika siyo hoja muhimu ulielewe !!
Sahihi na'am nitafuata taratibu zinazohitajika!!Ulielewe ili ujue matumizi yake sahihi
Zinazohitajika ni barakoa na vitakasa mikonoSahihi na'am nitafuata taratibu zinazohitajika!!