Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chochote upatacho hunabudi kuridhikaMUNGU asiyefananishwa na yeyote wala chochote.
Fenesi silipendi lina chunusiUsoni kwako kumekaa kama fenesi
Mahaba yakizidi uzembe unakujaChunusi ni ugojwa wa mahaba
Pisi kali zote huwa ni wakishuaChunusi sizipendi zinakutoa mchezoni ukikutana na pisi kali
Wako wengi wenye pesa Ila hisia hawanaVumbi linaudharaulisha uanaume wako...
Hawana msimamo wa uhakika !!Wako wengi wenye pesa Ila hisia hawana
Magumu huyeyushwa kwa subira na ubunifu...Uhakika utoke wapi wakati mambo magumu..
Ubunifu!? Vijana wa sasa wanavyopenda kitonga..!Magumu huyeyushwa kwa subira na ubunifu...
kitonga kina umuhimu wake, ila tusiviendekezeUbunifu!? Vijana wa sasa wanavyopenda kitonga..!
Tusiviendekeze vitoto vya sekondari, kuna miaka 30 jela!kitonga kina umuhimu wake, ila tusiviendekeze
Ukienda leo, ukitoka unakuta aliyekusababishia kufungwa ana wajukuu tayariTusiviendekeze vitoto vya sekondari, kuna miaka 30 jela!
Tayari umeharibu uzi.. Unaanza na neno nililomalizia mkuu!ukienda leo, ukitoka unakuta aliyekusababishia kufungwa ana wajukuu tayari