Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Taharuki kisiwaniMtaani Kuna taharuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taharuki kisiwaniMtaani Kuna taharuki
Kisiwani unguja nimekutafuta kote sijakuona.Taharuki kisiwani
Sijakuona kwenye siku ya harusi ya LenieKisiwani unguja nimekutafuta kote sijakuona.
Harusini nilihudhuria nikaleta zawadiSijakuona kwenye siku ya harusi ya Lenie
Zawadi wenyewe ndio lile jiko la umemeHarusini nilihudhuria nikaleta zawadi
Umeme wa solarZawadi wenyewe ndio lile jiko la umeme
Solar ndiyo kipara eeh??Umeme wa solar
eeh kipara cha naniSolar ndiyo kipara eeh??
Nani yupo tayari aongozane nami ktk safari ?eeh kipara cha nani
Safari lager wanasema ndio ladha kamiliNani yupo tayari aongozane nami ktk safari ?
Kamilisha vigezo vilivyoainishwa !!Safari lager wanasema ndio ladha kamili
Vilivyoainishwa na nani?Kamilisha vigezo vilivyoainishwa !!
Nyani huyuhuyu tumbiri au sokwe ana nasaba !!Nani kama nyani
Gani nzuri kati ya gauni na sketi ? Ukipatia ntakujibu..Nasaba na nasaha kuna tofauti gan
Nitakujibu nikifika nyumbaniGani nzuri kati ya gauni na sketi ? Ukipatia ntakujibu..
Nyumbani huwa Patamu kuliko asali...Nitakujibu nikifika nyumbani
Asali utamu wake hauzidi mapenziNyumbani huwa Patamu kuliko asali...
Mapenzi hayana macho huangukia bila matarajioAsali utamu wake hauzidi mapenzi