Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Lumumba alikuwa kijana mtanashati...Hii ni habari itakayowakera watu wa Lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba alikuwa kijana mtanashati...Hii ni habari itakayowakera watu wa Lumumba
Mtanashati km alivyo bashiteLumumba alikuwa kijana mtanashati...
Bashite kafanya mpaka gari za IST zionekane hazina maanaMtanashati km alivyo bashite
Maana yeye pia sasa hana lolote Na kujitadarukiBashite kafanya mpaka gari za IST zionekane hazina maana
Kujitadaruki maana yake nini mkuu?Maana yeye pia sasa hana lolote Na kujitadaruki
Mkuu hujui maana ya kujitadaruki?Kujitadaruki maana yake nini mkuu?
Kujitathmini au kujikadiria uwezo wa mhimiliMkuu hujui maana ya kujitadaruki?
Mhimili wa dunia upo kweli au ni nadharia tu!Kujitathmini au kujikadiria uwezo wa mhimili
Tukumbuke tulipotoka ndiyo tutajua tuendako...Mhimili wa dunia upo kweli au ni nadharia tu!
Kuamini ni kujisalimisha bila shuruti..Tuendako ni kuzuri kwa wenye kuamini..
Shuruti ni kutii bila kulazimishwa?Kuamini ni kujisalimisha bila shuruti..
Kulazimishwa watoto kutii amri za mila!!Shuruti ni kutii bila kulazimishwa?
Mila na desturi zama hizi hazifuatwi sijui kwaniniKulazimishwa watoto kutii amri za mila!!
Yamebadilika mambo ya msingi ktk mfumo !!Kwanini? Ni kwa sababu ya utandawazi mambo mengi yamebadilika
Mfumo wa elimu Tanzania ubadilishwe.Yamebadilika mambo ya msingi ktk mfumo !!
Ubadilishwe wakati wa kusafiri ...Mfumo wa elimu Tanzania ubadilishwe.
Kusafiri raha ukikaa na mkaka pembeniUbadilishwe wakati wa kusafiri ...
Pembeni mwangu kuna dirisha laingiza hewa...Kusafiri raha ukikaa na mkaka pembeni