onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Uliko kuna usalama kweli nduguUmeamkaje huko uliko,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliko kuna usalama kweli nduguUmeamkaje huko uliko,
Tulia Mwanangu tukulee malezi ya kisasa..ndugu ni mtu mlie zaliwa nae tumbo moja pekeee ,wengine sio ni kuzuiana mengineyo tu.
hapo umeanza na irabu zangu sio neno..umetuibia hapo... mfano wa ( tu ) kutumika kama neno ungesema hivi ( Tu kuku twenyewe tudogo))) 😊😊😊Tulia Mwanangu tukulee malezi ya kisasa..
Tudogo ili tutam sana,umekanunua wap??hapo umeanza na irabu zangu sio neno..umetuibia hapo... mfano wa ( tu ) kutumika kama neno ungesema hivi ( Tu kuku twenyewe tudogo))) [emoji4][emoji4][emoji4]
Wapi wanapatikana nikakununulie ule wiki nzima..Tudogo ili tutam sana,umekanunua wap??
Nzima siwez maliza,hapo ulipo pia wanapatikanaWapi wanapatikana nikakununulie ule wiki nzima..
Wanapatikana Meditaranio restaurant basi uje nakualika ...Nzima siwez maliza,hapo ulipo pia wanapatikana
Nakualika na wewe pia unipitie hapa nyumban,nimeshajiandaa,Wanapatikana Meditaranio restaurant basi uje nakualika ...
Nimeshajiandaa kwa nyungu sehemu ya tatuNakualika na wewe pia unipitie hapa nyumban,nimeshajiandaa,
Tatu ina hadhi ya kufikia milioni tisa...Nimeshajiandaa kwa nyungu sehemu ya tatu
Milioni tisa itapendeza.Tatu ina hadhi ya kufikia milioni tisa...
Itapendeza kesho simba ikishindaMilioni tisa itapendeza.
Ikishinda juani itayeyukaItapendeza kesho simba ikishinda
Acha uchuro we utopoloIkishinda juani itayeyuka
Utopolo utakua ni ww unaevuruga utaratibuAcha uchuro we utopolo
Utaratibu umewekwa ili ufuatweUtopolo utakua ni ww unaevuruga utaratibu
Ufuatwe na kila mmoja wetuUtaratibu umewekwa ili ufuatwe
Wetu ni wote watuzungukao.Ufuatwe na kila mmoja wetu
Watuzungukao wana Amin tunawalindaWetu ni wote watuzungukao.