Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Haupo ktk orodha iliyochapishwa ndani ya Gazette..Msamaha haupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haupo ktk orodha iliyochapishwa ndani ya Gazette..Msamaha haupo
Gazette la serikali pamoja na magazeti yote ya umma leo yalisheheni kurasa za mbele habari kemkemu kuhusu ziara fanisi ya JPM mkoani Morogoro --- sasa wananchi bila shaka watanufaika kwa kujengewa soko jipya huko kwene Mji Kasoro BahariHaupo ktk orodha iliyochapishwa ndani ya Gazette..
Bahari ni neno lenye maana na taswira nyingi ndg Jasmoni Tegga wewe ni BAHARI..Gazette la serikali pamoja na magazeti yote ya umma leo yalisheheni kurasa za mbele habari kemkemu kuhusu ziara fanisi ya JPM mkoani Morogoro --- sasa wananchi bila shaka watanufaika kwa kujengewa soko jipya huko kwene Mji Kasoro Bahari
Bahari ya HindiBahari ni neno lenye maana na taswira nyingi ndg Jasmoni Tegga wewe ni BAHARI..
Hindi la kuchoma au la kuchemsha?Bahari ya Hindi
Mzima ndg The Gentleman?Kuchemsha ndiyo mpango mzima.
Gentleman amegoma salamu yakoMzima ndg The Gentleman?
Yako salamu ni muhimu kujibiwa, binafsi mie ni buheri wa afya.Gentleman amegoma salamu yako
Afya njema ndio mtajiYako salamu ni muhimu kujibiwa, binafsi mie ni buheri wa afya.
mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyeweAfya njema ndio mtaji
Mwenyewe nasikia kuna mbunge amefarikimtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe
amefariki kwa janga tenaMwenyewe nasikia kuna mbunge amefariki
Tena alishazeekaamefariki kwa janga tena
alishazeeka kwani ni kiongozi yupi uyoo......Tena alishazeeka
Uyo uyo uliemsikia,kwan huna uhakikaalishazeeka kwani ni kiongozi yupi uyoo......
Uhakika ni kwamba HOFU inaua zaidi kuliko maradhi yoyote ama yote kwa pamoja. Kuna watu hawakuwa na hitilafu kubwa kiafya au magonjwa yoyote, ila kwa vipimo vyao kuwa faked, wakaambiwa wanaumwa homa kali -- nimonia-- basi hiyo imetosha kugharimu maisha yao mazima. Truth be told, waeneza hofu nao wanapaswa kuvaa kwenye vinywa & ndimi zao PPE & barakoaUyo uyo uliemsikia,kwan huna uhakika
Barakoa zangu zote zimetobokaUhakika ni kwamba HOFU inaua zaidi kuliko maradhi yoyote ama yote kwa pamoja. Kuna watu hawakuwa na hitilafu kubwa kiafya au magonjwa yoyote, ila kwa vipimo vyao kuwa faked, wakaambiwa wanaumwa homa kali -- nimonia-- basi hiyo imetosha kugharimu maisha yao mazima. Truth be told, waeneza hofu nao wanapaswa kuvaa kwenye vinywa & ndimi zao PPE & barakoa
Zimetoboka hazina za mifuko yao na wanaendelea kuyatapika madola na madola kwa sababu wahujumu uchumi na walanguzi-uchwara waliozoea kukwepa kodi na kukwepua rasilimali, awamu hizi mbili za utawala wa JPM zimewabana hasa kama bolts & nuts za greda koko ya ^Mjirumani^Barakoa zangu zote zimetoboka
Mjirumani ndo nani au unamaanisha mjerumani aliyetujengea reli ya katiZimetoboka hazina za mifuko yao na wanaendelea kuyatapika madola na madola kwa sababu wahujumu uchumi na walanguzi-uchwara waliozoea kukwepa kodi na kukwepua rasilimali, awamu hizi mbili za utawala wa JPM zimewabana hasa kama bolts & nuts za greda koko ya ^Mjirumani^