Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Gazette la serikali pamoja na magazeti yote ya umma leo yalisheheni kurasa za mbele habari kemkemu kuhusu ziara fanisi ya JPM mkoani Morogoro --- sasa wananchi bila shaka watanufaika kwa kujengewa soko jipya huko kwene Mji Kasoro Bahari
Bahari ni neno lenye maana na taswira nyingi ndg Jasmoni Tegga wewe ni BAHARI..
 
Uyo uyo uliemsikia,kwan huna uhakika
Uhakika ni kwamba HOFU inaua zaidi kuliko maradhi yoyote ama yote kwa pamoja. Kuna watu hawakuwa na hitilafu kubwa kiafya au magonjwa yoyote, ila kwa vipimo vyao kuwa faked, wakaambiwa wanaumwa homa kali -- nimonia-- basi hiyo imetosha kugharimu maisha yao mazima. Truth be told, waeneza hofu nao wanapaswa kuvaa kwenye vinywa & ndimi zao PPE & barakoa
 
Barakoa zangu zote zimetoboka
 
Barakoa zangu zote zimetoboka
Zimetoboka hazina za mifuko yao na wanaendelea kuyatapika madola na madola kwa sababu wahujumu uchumi na walanguzi-uchwara waliozoea kukwepa kodi na kukwepua rasilimali, awamu hizi mbili za utawala wa JPM zimewabana hasa kama bolts & nuts za greda koko ya ^Mjirumani^
 
Mjirumani ndo nani au unamaanisha mjerumani aliyetujengea reli ya kati
 
Back
Top Bottom