onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Hekima ni jambo pana sana,hebu tulijadiliMagufuli raisi wetu kapungukiwa hekima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hekima ni jambo pana sana,hebu tulijadiliMagufuli raisi wetu kapungukiwa hekima
Hekima ni jambo pana sana,hebu tulijadili
kina cha papuchi hutegemea na maumbileTulijadili kwa kina
Maumbile ya nn tena jaman,si tumekubaliana tuheshimianekina cha papuchi hutegemea na maumbile
Tuheshimiame kabisa maana sasa wenzetu wanataka kupotokaMaumbile ya nn tena jaman,si tumekubaliana tuheshimiane
Tuheshimiame kabisa maana sasa wenzetu wanataka kupotoka
Kupotoka kwa wenzangu kumenifanya Da-zangu niwaombe radhi na msamaha wa yakini...Tuheshimiame kabisa maana sasa wenzetu wanataka kupotoka
Yakini, inapooza na kusuuza.Kupotoka kwa wenzangu kumenifanya Da-zangu niwaombe radhi na msamaha wa yakini...
Kusuuza moyo na macho twende Dubai..Yakini, inapooza na kusuuza.
Kusuuza moyo na macho twende Dubai..
Kunatosha Kutembelea sio kuishi.Dubai kote kwanini buza kunatosha...
Kuishi bila malengo na maono ni hasaraKunatosha Kutembelea sio kuishi.
Hasara kubwa ni kutoamini.Kuishi bila malengo na maono ni hasara
Kutoamini kuwa ujasiria ktk harakati ni Moja ya'Hasara kubwa ni kutoamini.
Moja ya mambo ambayo napenda kuhusu Lenie ni macho yakeKutoamini kuwa ujasiria ktk harakati ni Moja ya'
Macho yake yamejaa tongotongo!! Mm-mmh mie simo!!Moja ya mambo ambayo napenda kuhusu Lenie ni macho yake
Simo katika dhambi ya kutoamini.Macho yake yamejaa tongotongo!! Mm-mmh mie simo!!
Yake ya kwenye avatari?Moja ya mambo ambayo napenda kuhusu Lenie ni macho yake
Yake ya kwenye avatari?
Nini iyo kwio ni profile picture nijuavyo.Avatari maana yake nini?