Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Tuliojiwekea bila kutazamza utashi...Bughudha imeharibu utaratibu mzuri tuliojiwekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliojiwekea bila kutazamza utashi...Bughudha imeharibu utaratibu mzuri tuliojiwekea
Utashi wako ndiyo msingi wakoTuliojiwekea bila kutazamza utashi...
Wako wapi waliojiganba juu ya mgongo wa Ardhi?Utashi wako ndiyo msingi wako
Ardhi ni rasilimali muhimuWako wapi waliojiganba juu ya mgongo wa Ardhi?
Muhimu sana inatakiwa pawepo na usawa katika umiliki maeneo yenye tijaArdhi ni rasilimali muhimu
Tija ikiwepo kutakuwa na manufaa ki ukweliMuhimu sana inatakiwa pawepo na usawa katika umiliki maeneo yenye tija
Ukweli ni mchungu ukiambiwa unaanza kutapatapa.Tija ikiwepo kutakuwa na manufaa ki ukweli
Kutapatapa huko kunaashiria maji kufika shingoniUkweli ni mchungu ukiambiwa unaanza kutapatapa.
Kutapatapa ni kuishiwa nguvu za kurukaUkweli ni mchungu ukiambiwa unaanza kutapatapa.
Shingoni ninaniga tie lakini mfukoni nipo zeroKutapatapa huko kunaashiria maji kufika shingoni
Kuruka kamba ni njia mojawapo ya kufanya mazoeziKutapatapa ni kuishiwa nguvu za kuruka
Zero iq ni miongoni mwa wanachama wa jamii forumsShingoni ninaniga tie lakini mfukoni nipo zero
Mazoezi yapo ya aina nyingi sanaKuruka kamba ni njia mojawapo ya kufanya mazoezi
Sana tu ikiwepo kufanya joggingMazoezi yapo ya aina nyingi sana
Aina nyingi sana za mimea ni dawaMazoezi yapo ya aina nyingi sana
Dawa ya Madagascar iliishia wapi?Aina nyingi sana za mimea ni dawa
Dawa ya corona ni ipi hasa?Aina nyingi sana za mimea ni dawa
Wapi ni sehemu sahihi pa kudai haki?Dawa ya Madagascar iliishia wapi?
Ipi hasa unataka??Dawa ya corona ni ipi hasa?