Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hasara iliyopatikana ni kubwa sanaDawa ya corona ni ipi hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasara iliyopatikana ni kubwa sanaDawa ya corona ni ipi hasa?
Kubwa sana inawaumiza wadadaHasara iliyopatikana ni kubwa sana
Sana ukizingatia nguvu nyingi zilizitumikaHasara iliyopatikana ni kubwa sana
Zilitumika enzi za ukoloniSana ukizingatia nguvu nyingi zilizitumika
Wadada wa siku hizi ni wepesi sana kushawishikaKubwa sana inawaumiza wadada
Ukoloni ulituletea manufaa gani mpaka sasa kwenye bara hili?Zilitumika enzi za ukoloni
Kushawishika kwa kauli za wanasiasa unapotea njiaWadada wa siku hizi ni wepesi sana kushawishika
Hili pekee ndio umeliona?Ukoloni ulituletea manufaa gani mpaka sasa kwenye bara hili?
Njia yenyewe ipo gizaniKushawishika kwa kauli za wanasiasa unapotea njia
Gizani kufanya siwezi kabisaNjia yenyewe ipo gizani
Umeliona lijamaa limoja linakatiza maeneo haya?Hili pekee ndio umeliona?
Siwezi kabisa kulala bila konyagiGizani kufanya siwezi kabisa
Kabisa hata mimiGizani kufanya siwezi kabisa
Konyagi usinywe sana utadhuru afya yakoSiwezi kabisa kulala bila konyagi
Afya yako inanihusu nini?Konyagi usinywe sana utadhuru afya yako
Nini usichokijua kuhusu usalama wa maisha yako katika hili janga?Afya yako inanihusu nini?
Nini kimekusukuma kunaandika hivyo?Afya yako inanihusu nini?
Janga linakuzwa vibayaNini usichokijua kuhusu usalama wa maisha yako katika hili janga?
Janga la korona linatishia amani katika nchiNini usichokijua kuhusu usalama wa maisha yako katika hili janga?
Hivyo ndio vizuri kujibu?Nini kimekusukuma kunaandika hivyo?