T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Asionekana wapi wakati nyoka huku kwetu anaonekana na kugonga visigino vya watuKutambaa kulimfanya nyoka asionekane..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asionekana wapi wakati nyoka huku kwetu anaonekana na kugonga visigino vya watuKutambaa kulimfanya nyoka asionekane..
@Mwifwa ni jamaa mmoja mkorofi sanaWatu wameanza kunipiga vita kwenye huu uzi, haswa Mwifwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Majungu siyo mtaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi nimekupiga majungu?
Mtaji wako bado unapumua?Majungu siyo mtaji
Unapumua kwa juu juu kama unataka kufaMtaji wako bado unapumua?
Kufanya inahitaji hali ya hewa nzuriUnapumua kwa juu juu kama unataka kufa
Nzuri ile gari hasa kwa ndani na rangi yakeKufanya inahitaji hali ya hewa nzuri
Rangi yake mbona ya kawaida sanaNzuri ile gari hasa kwa ndani na rangi yake
Sana sana hii korona inatugombanishaRangi yake mbona ya kawaida sana
Inatugombanisha na kina nani?Sana sana hii korona inatugombanisha
Nani huyo anaependa ugomviInatugombanisha na kina nani?
Ugomvi ni asili yenuNani huyo anaependa ugomvi
Yenu tena??kina nani haoUgomvi ni asili yenu
Hao wanaopinga uvaaji wa barakoaYenu tena??kina nani hao
Barakoa inabama koaHao wanaopinga uvaaji wa barakoa
Koa au koo,mbona unatuchanganyaBarakoa inabama koa
Unatuchanganya na kauli zako, tuvae barakoa au tusivae?Koa au koo,mbona unatuchanganya
Tusivae makoti wakati wa jua kaliUnatuchanganya na kauli zako, tuvae barakoa au tusivae?