That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Mwanaume?? Angalia avata yake mkuuLakini wewe onlyalvira ni mwanamke au mwanaume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume?? Angalia avata yake mkuuLakini wewe onlyalvira ni mwanamke au mwanaume?
Mkuu mamboMwanaume?? Angalia avata yake mkuu
Mambo kwa sasa ni magumu, hali yako vipi mkuu??Mkuu mambo
Mkuu mimi niko poa sana tu na hali yangu ni nzuri sana maana mitano tena naitendea hakiMambo kwa sasa ni magumu, hali yako vipi mkuu??
Haki ya Mungu, life limekuwa tight sana upande wanguMkuu mimi niko poa sana tu na hali yangu ni nzuri sana maana mitano tena naitendea haki
Wangu bado hajafika hapa ndo namsubiriaHaki ya Mungu, life limekuwa tight sana upande wangu
Namsubiria yeye na nduguze ili tukajumuike pamojaWangu bado hajafika hapa ndo namsubiria
Pamoja sana mkuu pambana na mitano tenaNamsubiria yeye na nduguze ili tukajumuike pamoja
Tena apambane hasaPamoja sana mkuu pambana na mitano tena
Haswa wasizubae maana mchekecho ni mkali..Tena apambane hasa
Mkali sana yule mbwaHaswa wasizubae maana mchekecho ni mkali..
Mbwa wa jeshi la FFU wamefunzwa kushambulia..Mkali sana yule mbwa
Kushambulia kwake huwa ni kwa kuviziaMbwa wa jeshi la FFU wamefunzwa kushambulia..
kuvizia kuna hatari ya kuharibu mpangoKushambulia kwake huwa ni kwa kuvizia
Mpango wa Mungukuvizia kuna hatari ya kuharibu mpango
Mungu anatupenda sana sisi wanadamu.Mpango wa Mungu
Wanadamu wote wametokana na nyaniMungu anatupenda sana sisi wanadamu.
Nyani!! Hapana mkuu hiyo ni nadharia ya uongo mbona leo hawaendelei kubadilika?Wanadamu wote wametokana na nyani
Kubadirika kwake na kuwa mwizi ni jambo la ajabu sanaNyani!! Hapana mkuu hiyo ni nadharia ya uongo mbona leo hawaendelei kubadilika?