T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Jamani mimi huyu kweli nishindwe kupambana na mitano tena!!Taifa lipi tena jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mimi huyu kweli nishindwe kupambana na mitano tena!!Taifa lipi tena jamani
Tena utashindwa maana unaonekan mvivuJamani mimi huyu kweli nishindwe kupambana na mitano tena!!
Mvivu kitandaniTena utashindwa maana unaonekan mvivu
Kitandani ya mawazo yako,mm naona utashindwa kwenye kusukuma gurudumuMvivu kitandani
Kitandani hakizaliwi haramu kila mmoja abebe wake mzigo!Mvivu kitandani
Gurudumu ni kubwa kanakwamba njoo tusaidianeKitandani ya mawazo yako,mm naona utashindwa kwenye kusukuma gurudumu
Njoo tusaidiane ndio mtindo wa kisasaGurudumu ni kubwa kanakwamba njoo tusaidiane
Kisasa ni mkono kwa mkono hadi tamati...Njoo tusaidiane ndio mtindo wa kisasa
Tumeongeza muda wa ziadaTamati haifikiwi tu?
Ziada hayupo hapa.Tumeongeza muda wa ziada
Hapa nataka nikuibukie ila nashindwa nianzie wapiZiada hayupo hapa.
Wapi tukutane?Hapa nataka nikuibukie ila nashindwa nianzie wapi
Tukutane pale pale pa siku zoteWapi tukutane?
Zote ni kali ila kvant ni balaa jingineTukutane pale pale pa siku zote
Jingine pia ni janga ambalo tutalimaliza harakaZote ni kali ila kvant ni balaa jingine
Haraka njoo hapo kwenye makutanoJingine pia ni janga ambalo tutalimaliza haraka
Makutano yetu yalishindika dili ilibumaHaraka njoo hapo kwenye makutano
Ilibuma kwa sbb unaropokaga hovyo bila mpango..Makutano yetu yalishindika dili ilibuma
Ilibuma kwa sbb unaropokaga hovyo bila mpango..