onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Raia wenyewe kwani wanasemaje??Faida ya kuonea raia ni kuchukiwa na hao raia.
Nalog off
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raia wenyewe kwani wanasemaje??Faida ya kuonea raia ni kuchukiwa na hao raia.
Nalog off
Wanasemaje ila heri zaidi tunaomba mema Amani na mshikamano
Mshikamano wetu ni muhimu zaidiWanasemaje ila heri zaidi tunaomba mema Amani na mshikamano
Zaidi tusimame kidete kulinda na kutunza udugu..
Udugu ndo nini?Zaidi tusimame kidete kulinda na kutunza udugu..
Sijaziona tena funguo za mlangoUdugu ndo nini?
Wakat tangu juzi nasubiria habari mpya sijaziona?
Mlango nani aliacha wazi na nyau ameingia ndaniSijaziona tena funguo za mlango
Nje ya nchi nenda lakini sio chinaNdani wapi? wkt tulikubaliana tunamwaga nje
China bado Corona ipo?
Ipo siku tutawadhamini wanamichezo kufuzuChina bado Corona ipo?
Kufuzu michuano ipi?Ipo siku tutawadhamini wanamichezo kufuzu
Ipi kama OLYMPICS na mshindano ya kimataifa yenye hadhi...Kufuzu michuano ipi?
Hadhi ya kimataifa tunaitaka woteIpi kama OLYMPICS na mshindano ya kimataifa yenye hadhi...
Mrembo anakuwa na sifa gani tuanzie hapo
Hapo ulipo unajua mt Kilimanjaro uko wapi?Mrembo anakuwa na sifa gani tuanzie hapo
Wapi unataka kutupeleka tumeshajiandaa tayariHapo ulipo unajua mt Kilimanjaro uko wapi?
Nalog off
Teyari tumeshaijua mipango yao
Mipango yao ni kutupeleka uchumi wa katiTeyari tumeshaijua mipango yao
Nalog off