Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kati ya kazi za Ufundi na ukurugenzi kipi kina manufaa?Mipango yao ni kutupeleka uchumi wa kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya kazi za Ufundi na ukurugenzi kipi kina manufaa?Mipango yao ni kutupeleka uchumi wa kati
Manufaa kwa wote na si kulipendelea gang fulani na kulikandamiza kundi fulani.Kati kazi za Ufundi na ukurugenzi kipi kina manufaa?
Fulani alifumaniwa akipiga chabo...Manufaa kwa wote na si kulipendelea gang fulani na kulikandamiza kundi fulani.
Nalog off
chabo ukishazianza ni ngumu kuachaFulani alifumaniwa akipiga chabo...
Kuacha jambo tegemezi la uraibu !!chabo ukishazianza ni ngumu kuacha
Uraibu ndo nini?Kuacha jambo tegemezi la uraibu !!
Nini ndg wee ni swahili? hujui msamiati...acha nikufunze lugha mama " uraibu ni Addiction "Uraibu ndo nini?
Addiction ndo umenifunza nini sasa mkuu au umeamua kunipoteza kabisa siyo?Nini ndg wee ni swahili? hujui msamiati...acha nikufunze lugha mama " uraibu ni Addiction "
Siyo au ni lugha gongana??Addiction ndo umenifunza nini sasa mkuu au umeamua kunipoteza kabisa siyo?
Gongana uso kwa uso
Sana sehemu gani ya uso wako imevimba mpendwa?
Wapendwa wangu Mnanitoa nishai sana hebu acheni matani...Sana sehemu gani ya uso wako imevimba mpendwa?
Matani yapi tena tuache?Wapendwa wangu Mnanitoa nishai sana hebu acheni matani...
Tuache kutishanaMatani yapi tena tuache?
Kutishana vp,wakati wadau siwaonni Zamiluni Zamiluni ,Jasmoni Tegga ,ABJ ,Lenie ,T 1990 ELY ,Emiir na wengine mko wapTuache kutishana
Nalog off
Wapi wameelekea tuwafateKutishana vp,wakati wadau siwaonni Zamiluni Zamiluni ,Jasmoni Tegga ,ABJ ,Lenie ,T 1990 ELY ,Emiir na wengine mko wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutwishana ndoo za maji Asubuhi ni usumbufu..Tuache kutishana
Nalog off
Mtufuate kwanini hebu tuachieni na Mizunguko yetu ya Faragha..!!Wapi wameelekea tuwafate
Faragha gani tena,si tumekubaliana kila kitu tuna shareKutwishana ndoo za maji Asubuhi ni usumbufu..
Mtufuate kwanini hebu tuachieni na Mizunguko yetu ya Faragha..!!
Sharing is caring.., umefika kwa mgawiaji..