Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Name linaendana na sura??Abrianna is a beautful name
Jana nilikuwa wa mwishoAbrianna wewe ni wa Ruwanda au Abiria wa jana?
Sura huumbwa ndani ya mfuko wa kizaziName linaendana na sura??
Kizazi huwa kinakaushwa??Sura huumbwa ndani ya mfuko wa kizazi
Sura ya babaName linaendana na sura??
Kinakaushwa na motoKizazi huwa kinakaushwa??
Moto mpelekee, waliimba wasanii wetuKinakaushwa na moto
Moto wa kuni za mpera[emoji23]Kinakaushwa na moto
Wetu uzalendo umetuponzaMoto mpelekee, waliimba wasanii wetu
Mpera ni dawa ya coronaMoto wa kuni za mpera[emoji23]
Corona dawa ni kujifukizaMpera ni dawa ya corona
Kujifukiza bila mpango wasaa safokat na kujisababisha madhara zaidiCorona dawa ni kujifukiza
Zaidi ya kutumia chanjo za wazunguKujifukiza bila mpango wasaa safokat na kujisababisha madhara zaidi
Kujifukiza ni uchawiCorona dawa ni kujifukiza
Zamiluni hili neno ukilijua au kunipa tafsiri yake tu? Believe me nakupa 50k cash saa hivi..Umetuponza wewe Abrianna pamoja na Zamiluni Zamiluni
Zaidi kama una maginjwa nyemeleziKujifukiza bila mpango wasaa safokat na kujisababisha madhara zaidi
Uchawi ukitajwa humu wa kwanza kumfikiria niKujifukiza ni uchawi
Uchawi wa sumbawangaKujifukiza ni uchawi