BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hasira zimetanda nchi nzima kwa sababu ya hawa wahuni.
Mambo ya nchi hii yanatia hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya nchi hii yanatia hasira
Wahuni wachache wanataka kuharibuHasira zimetanda nchi nzima kwa sababu ya hawa wahuni.
Wahuni wamefanya ubadhirifuHasira zimetanda nchi nzima kwa sababu ya hawa wahuni.
Kuharibu kunaleta madhara
Madhara yana laana na husababishwa na hulka za ufuska!!Kuharibu kunaleta madhara
Ufuska ni tabia ya kurithiMadhara yana laana na husababishwa na hulka za ufuska!!
Kurithi mali za wandugu ni kujitakia kesi...Ufuska ni tabia ya kurithi
Kesi ya watumishi hewa ni ngumu sanaKurithi mali za wandugu ni kujitakia kesi...
Sana sana usiku huu usinikimbie..Kesi ya watumishi hewa ni ngumu sana
Usinikimbie kwa sababu mbio za sakafuni huishia ukingoniSana sana usiku huu usinikimbie..
Ukingoni ntakumulika kwa tochi nikuokoe..Usinikimbie kwa sababu mbio za sakafuni huishia ukingoni
Sasa mkinizingua tutazinguana nimewapa sweetness
Sweetness ipo na ladha ya asaliSasa mkinizingua tutazinguana nimewapa sweetness
Asali Ni tamu kuliko SukariSweetness ipo na ladha ya asali
Yako Afya, yangu Afya, na Afya ya kila mmoja iwapo matumizi yakitumika vibaya, matokeo yake ni Maradhi
Maradhi hatari sana,tujilindeYako Afya, yangu Afya, na Afya ya kila mmoja iwapo matumizi yakitumika vibaya, matokeo yake ni Maradhi
Tujilinde, tujikinge, tujihadhari, na tujitahidi kwa kila tunapoweza tuzijali Afya zetu