Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Zake zikipita zitakuja za wengineUnabadilika kwakuwa kila kizazi kina zama zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zake zikipita zitakuja za wengineUnabadilika kwakuwa kila kizazi kina zama zake
Wengine humu ni 社会学会论坛Zake zikipita zitakuja za wengine
Unabadilika kutokana na mazingira tunayoishiSana kwa kuwa ulimwengu unabadilika
Watoto wetu wanapitia wakati mgumu
Wachina hawana maana😅😅Wengine humu ni 社会学会论坛
Mazingira tunayoishi yanasadifu tabia zetu
Zetu tamaduni tuzitunze kuwaepusha watoto kuingia kwenye mitandao na kuharibika kama watoto wengineMazingira tunayoishi yanasadifu tabia zetu
Ninawaombea maisha marefu yenye fanaka
Wengine wengi tu wameshaharibika, kiasi wamebakiZetu tamaduni tuzitunze kuwaepusha watoto kuingia kwenye mitandao na kuharibika kama watoto wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebaki watoto wa yesu tuWengine wengi tu wameshaharibika, kiasi wamebaki
Prosperous ndio fanaka
Kuwaombea kwa Mungu wakue wanajamii bora
Bora kuishi na furaha kuliko na majonziKuwaombea kwa Mungu wakue wanajamii bora
Majonzi ninayo, DMX hayupo
Majonzi yametawala kwa msiba wa mwendazake
Hayupo ametutoka na wote tutafuataMajonzi ninayo, DMX hayupo
Mwendazake alale pahala pema peponiMajonzi yametawala kwa msiba wa mwendazake