onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Wenyewe wameshachoka wanataka haki zaoWatu wote watabeba Mizigo yao wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wameshachoka wanataka haki zaoWatu wote watabeba Mizigo yao wenyewe
Zao la Mkoa wa kigoma ni Michikichi
Michikichi mpaka kufikia hii leo bado sijazijua faida zakeZao la Mkoa wa kigoma ni Michikichi
Zake pesa na mikataba mbalimbali alikuwa akiziweka chini ya mtoMichikichi mpaka kufikia hii leo bado sijazijua faida zake
Mto gan tena??mm nataka nijue faida za mchikichi kwanzaZake pesa na mikataba mbalimbali alikuwa akiziweka chini ya mto
Nalog off
Kwanza mchikichi unatoa mafuta ambayo Kwa watu wa Afrika magharibi huwa wanatumia pamoja na mchuzi walapo ubwabwa
Nalog off wakati bado hujatoa elimuKwanza mchikichi unatoa mafuta ambayo Kwa watu wa Afrika magharibi huwa wanatumia pamoja na mchuzi walapo ubwabwa
Nalog off
Elimu bora ni ufunguo wa maishaNalog off wakati bado hujatoa elimu
Maisha matamu sana ukiwa na helaElimu bora ni ufunguo wa maisha
Hela hutaftwa kwa kwa nyenzo zote tatuMaisha matamu sana ukiwa na hela
Tatu mzukaHela hutaftwa kwa kwa nyenzo zote tatu
Mzuka hahahahaha unafanya kwenye ubongo wangu ijijenge taswira ya ile picha iliyopo kwenye riwaya ya joka la mdimuTatu mzuka
Mdimu maana yake nini?Mzuka hahahahaha unafanya kwenye ubongo wangu ijijenge taswira ya ile picha iliyopo kwenye riwaya ya joka la mdimu
Nini? Labda itakua jina la mtuMdimu maana yake nini?
Mtu wangu wa nguvu ni AbriannaNini? Labda itakua jina la mtu
Saba? Mbone chai vileAbrianna anasoma darasa la saba
Darasa LA Saba ni darasa LA Mwisho katika elimu ya msingi,,,, tumuombee kila lililo Jema katika ngazi yake ya elimu inayofuata...Abrianna anasoma darasa la saba
Inayofuata ni kuingia sekondari ila bora aolewe akimalizaDarasa LA Saba ni darasa LA Mwisho katika elimu ya msingi,,,, tumuombee kila lililo Jema katika ngazi yake ya elimu inayofuata...
Akimaliza kuolewa si mkuu wa kwake kafaidi aiseeInayofuata ni kuingia sekondari ila bora aolewe akimaliza