HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Mshindani inatakiwa awe Mzalendo sana, tatizo tuna washindani wengi sana ambao wamekosa kabisa UzalendoKushindwa ndiko kutakutambulisha kuwa mshindani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindani inatakiwa awe Mzalendo sana, tatizo tuna washindani wengi sana ambao wamekosa kabisa UzalendoKushindwa ndiko kutakutambulisha kuwa mshindani
Uzalendo sio kitu cha kuongea mdomoni bila kuwepo moyoniMshindani inatakiwa awe Mzalendo sana, tatizo tuna washindani wengi sana ambao wamekosa kabisa Uzalendo
Moyoni kwangu amejaa mama SamiaUzalendo sio kitu cha kuongea mdomoni bila kuwepo moyoni
Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpya kwa mtazamo wangu naona atakuwa na kazi nzito sana huko mbeleni kuliongoza Taifa hili, sina shaka nae hata kidogo ila haitokuwa rahisi kama tunavyodhania/tunavyofikiria, tunamtakia kila la Kheri, huu ni wangu MtazamoMoyoni kwangu amejaa mama Samia
Nalog off
Mtazamo wako ni wa ukweli, mda ndio utakaosema. Yetu macho tuSamia Suluhu Hassan Rais wetu mpya kwa mtazamo wangu naona atakuwa na kazi nzito sana huko mbeleni kuliongoza Taifa hili, sina shaka nae hata kidogo ila haitokuwa rahisi kama tunavyodhania/tunavyofikiria, tunamtakia kila la Kheri, huu ni wangu Mtazamo
Yourself aka Yuaserufu is a Japanese visual novel released on 2007 for the PlayStation 2
2 wrongs don't make a right, turudi uwanja wa nyumbani tuendelee na mitazamo yetu ya Rais wetu Mama SamiaYourself aka Yuaserufu is a Japanese visual novel released on 2007 for the PlayStation 2
Tanzania kule kwenye tanzaniteSamia Raisi mwanaMama wa Tanzania
Tanzanite ya billionea LaizerTanzania kule kwenye tanzanite
Laizer Ni ukoo wenye bahati.Kila kikicha Wana trend kwenye Vyombo vya habariTanzanite ya billionea Laizer
Pamenasa wakati huo huo wakulungwa tunapita humohumo.Habari ni kwamba vijana wa sasa ni mapapa sukasa,hakuna pakupapasasa kila pande pamenasa,
“Humohumo” mstari pendwa kwenye singeliPamenasa wakati huo huo wakulungwa tunapita humohumo.
Singeli ni nyimbo za vijana“Humohumo” mstari pendwa kwenye singeli
Vijana ndo taifa la kesho ujueSingeli ni nyimbo za vijana
Tunapambana na ripoti ya CAGMtazamo wako ni wa ukweli, mda ndio utakaosema. Yetu macho tu
Ujue unazinguaVijana ndo taifa la kesho ujue
Unazingua lakini tulishakutambua tuko zamaniUjue unazingua