Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Moyoni kwangu amejaa mama Samia
Nalog off
Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpya kwa mtazamo wangu naona atakuwa na kazi nzito sana huko mbeleni kuliongoza Taifa hili, sina shaka nae hata kidogo ila haitokuwa rahisi kama tunavyodhania/tunavyofikiria, tunamtakia kila la Kheri, huu ni wangu Mtazamo
 
Mtazamo wako ni wa ukweli, mda ndio utakaosema. Yetu macho tu
 
1618441106980.png
 
Yourself aka Yuaserufu is a Japanese visual novel released on 2007 for the PlayStation 2
2 wrongs don't make a right, turudi uwanja wa nyumbani tuendelee na mitazamo yetu ya Rais wetu Mama Samia
 
Back
Top Bottom