Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Ndogo! Hivi kuna hela ndogo au pesa kiasi kidogo?Dada ameolewa kwa mahari ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndogo! Hivi kuna hela ndogo au pesa kiasi kidogo?Dada ameolewa kwa mahari ndogo
Kidogo tu nimaze ndaniNdogo! Hivi kuna hela ndogo au pesa kiasi kidogo?
Ndani ya nyumba kuna joka kubwaKidogo tu nimaze ndani
Kubwa kuliko meliNdani ya nyumba kuna joka kubwa
Meli ya kivita imetua nchiniKubwa kuliko meli
Nchini!, ilikua inapaa?Meli ya kivita imetua nchini
Inapaa kama ndege ya jeshiNchini!, ilikua inapaa?
Jeshi la wananchi au jeshi la wokovuInapaa kama ndege ya jeshi
Wokovu ni imaniJeshi la wananchi au jeshi la wokovu
Imani bila matendo ni kazi bureWokovu ni imani
Bure ni gharamaImani bila matendo ni kazi bure
Bure ni gharama
Utakaponunua unijulishe nije nikujengeeGharama ya viwanja inategemea na mahali utakaponunua
Nikujengee Ikulu yakoUtakaponunua unijulishe nije nikujengee
Yako ni ipi kati ya zileNikujengee Ikulu yako
Nalog off
Zile zilikuwa ni kura za wiziYako ni ipi kati ya zile
Wizi uliotokea awamu iliyopita unasikitishaZile zilikuwa ni kura za wizi
Nalog off
Unasikitisha! kipi kikusikitishacho?Wizi uliotokea awamu iliyopita unasikitisha
Kikusikitishacho ni kutokuelewa wizi uliotokea?Unasikitisha! kipi kikusikitishacho?
Uliotokea ni wizi wa kura kweli au ilikuwa mipango ya kuwaaminisha watu kwamba uchaguzi haukuwa wa haki?Kikusikitishacho ni kutokuelewa wizi uliotokea?
nalog off