mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Haki haipatikani kama zawadi hupatikana kwa kujitoa muhangaUliotokea ni wizi wa kura kweli au ilikuwa mipango ya kuwaaminisha watu kwamba uchaguzi haukuwa wa haki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki haipatikani kama zawadi hupatikana kwa kujitoa muhangaUliotokea ni wizi wa kura kweli au ilikuwa mipango ya kuwaaminisha watu kwamba uchaguzi haukuwa wa haki?
Haki haipatikani kama zawadi hupatikana kwa kujitoa muhanga
Lipi tuanze nalo kati ya yoteMuhanga kwenye lipi?
Yote unayo, nadekezwa tuLipi tuanze nalo kati ya yote
Tuendelee, lakini chief hili jina lako linatamkwaje? Maana mimi huwa natamka Kimwizi....hebu nifumbue machoYote unayo, nadekezwa tu
Macho yake ni makubwa lakini haoni vizuriTuendelee, lakini chief hili jina lako linatamkwaje? Maana mimi huwa natamka Kimwizi....hebu nifumbue macho
Vizuri, ulijuaje?Macho yake ni makubwa lakini haoni vizuri
Ulijuaje kwamba nchi ina hazina ya kutoshaVizuri, ulijuaje?
Kutosha ni ngumu labda unipe tenaUlijuaje kwamba nchi ina hazina ya kutosha
Tena wewe ni jambaziKutosha ni ngumu labda unipe tena
Jambazi! Umemfahamu vipi? Ngoja nikae pembeni maana mwishoni na mimi utaniita mchawi!Tena wewe ni jambazi
Mchawi alikamatwa janaJambazi! Umemfahamu vipi? Ngoja nikae pembeni maana mwishoni na mimi utaniita mchawi!
Jana na juzi kulikua na baridi kaliMchawi alikamatwa jana
Kali pamoja na upepoJana na juzi kulikua na baridi kali
Upepo ulivuma sana kabla ya kunyesha mvuaKali pamoja na upepo
Mvua imeharibu barabara nyingiUpepo ulivuma sana kabla ya kunyesha mvua
Nyingi sana hasa wakati huu wa masikaMvua imeharibu barabara nyingi
Nyingi sana hasa wakati huu wa masika
Masika ni hatariNyingi sana hasa wakati huu wa masika
Hatari sana kudandia gari Kwa mbeleMasika ni hatari