That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Kumuelewa mwanasiasa ni ngumu sana, uongo na tamaa zimewajaa.Nzuri na Maliasili za kutosha, Hayati Magufuli alijitahidi sana kuzilinda kwa bahati mbaya tulishindwa kumuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumuelewa mwanasiasa ni ngumu sana, uongo na tamaa zimewajaa.Nzuri na Maliasili za kutosha, Hayati Magufuli alijitahidi sana kuzilinda kwa bahati mbaya tulishindwa kumuelewa
Tamaa zimewajaa washindwa kutenda haki wanaishia kujilimbikizia maliKumuelewa mwanasiasa ni ngumu sana, uongo na tamaa zimewajaa.
Mali bila daftari hupotea bila habariTamaa zimewajaa washindwa kutenda haki wanaishia kujilimbikizia mali
Habari zilizovunjika ndiyo breaking news.Mali bila daftari hupotea bila habari
Kiswahili ni lugha pendwa Africa MasharikiNews ni habari kwa kiswahili
mashariki ni mbali sana jamani..Kiswahili ni lugha pendwa Africa Mashariki
Jamani..kwema?mashariki ni mbali sana jamani..
Kwema, mambo vipi!!Jamani..kwema?
Vipi yule manzi alikuja ghettoKwema, mambo vipi!!
Ghetto la vijana halina hata jikoVipi yule manzi alikuja ghetto
Jiko ni jambo la kununuaGhetto la vijana halina hata jiko
Kununua jiko mtoto wa kiume ni nadraJiko ni jambo la kununua
Nadra kwa sababu mnaishi kiselaKununua jiko mtoto wa kiume ni nadra
Kisela, hapana ndugu mimi nitoe kwenye hilo kundiNadra kwa sababu mnaishi kisela
Kundi la utopolo linaenda kuabika tarehe naneKisela, hapana ndugu mimi nitoe kwenye hilo kundi
Nane ni tarehe ambayo Dr. Abassi anaenda kuongea uwongo!Kundi la utopolo linaenda kuabika tarehe nane
Uwongo ndo sababu itakayofanya uto wafungweNane ni tarehe ambayo Dr. Abassi anaenda kuongea uwongo!
Wafungwe tu.Uwongo ndo sababu itakayofanya uto wafungwe
Wafungwe tu YangaWafungwe tu.