Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Mzuri sana kwani dalili zajionesha waziMsimu ujao ni mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzuri sana kwani dalili zajionesha waziMsimu ujao ni mzuri
Wazi bila kifichoMzuri sana kwani dalili zajionesha wazi
Kificho hakifai bora kuwa huru
Kuwa huru kunafaa ila si kwa kila jamboKificho hakifai bora kuwa huru
Jambo Tanzania [emoji1241]Kuwa huru kunafaa ila si kwa kila jambo
Tanzania 🇹🇿 ni Nchi yenye utajiri mwingi sanaJambo Tanzania [emoji1241]
Jambo moja nililonalo ni upendo tuKuwa huru kunafaa ila si kwa kila jambo
"tu"ma na yakutoleaaaJambo moja nililonalo ni upendo tu
Tu ni kifupi cha neno TutagegedanaJambo moja nililonalo ni upendo tu
Tutagegedana unayo menoTu ni kifupi cha neno Tutagegedana
Meno ya tembo ni diliTutagegedana unayo meno
Dili sio lazima litiki kila sikuMeno ya tembo ni dili
Siku ngapi ndiyo hesabu ya mwaka
Kwa bashasha tuliyoipata Léo tumefarijikaSiku ya leo tunakaribisha weekend kwa bashasha
Tumefarijika baada ya fudenge kuwekwa korokoroni?Kwa bashasha tuliyoipata Léo tumefarijika
Korokoroni? Huko sio kizuri kabisa, tuombeane kheri mmoja wetu asifike hukoTumefarijika baada ya fudenge kuwekwa korokoroni?
Nalog off
Huko ni kwa wote we ulidhani atafikishwa korokoroni kwa jinsi alivokua na majigambo.Korokoroni? Huko sio kizuri kabisa, tuombeane kheri mmoja wetu asifike huko
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Majigambo hayastahili katika dunia ya sasa kwasababu hujui kesho yakoHuko ni kwa wote we ulidhani atafikishwa korokoroni kwa jinsi alivokua na majigambo.
Kesho yako iandaliwe leo vyema ili iwe bora na yenye mafanikioMajigambo hayastahili katika dunia ya sasa kwasababu hujui kesho yako
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app