T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Kuvurugika kote huko kumbe hamna kituLugha bhana[emoji23][emoji23][emoji23] ni kuvurugika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvurugika kote huko kumbe hamna kituLugha bhana[emoji23][emoji23][emoji23] ni kuvurugika
Kitu unachohitaji hakipatikani dukaniKuvurugika kote huko kumbe hamna kitu
Dukani pamejaa bidhaaKitu unachohitaji hakipatikani dukani
Bidhaa bandiaDukani pamejaa bidhaa
Bandiaa!? Nan alikuambiaa!?Bidhaa bandia
Bidhaa bandia nyingi zinatokea UchinaBidhaa bandia
kitambo sana nipo kimya.Uchina ni rafiki wa Tanzania tangu kitambo.
Kimya kingi ulikuwa wapi mkuu?kitambo sana nipo kimya.
mkuu nilikua busy na life, vp mambo poa?Kimya kingi ulikuwa wapi mkuu?
Nalog off
Poa kabisa kwa jeuri ya chamamkuu nilikua busy na life, vp mambo poa?
Chama cha wapangaji nyumbaPoa kabisa kwa jeuri ya chama
Nalog off
Nyumba ni muhimu sana, iwe ya kununua, ya kujenga, au ya kupangaChama cha wapangaji nyumba
Kupanga nyumba inawezekana ila kama una nafasi bora kujenga yakwakoNyumba ni muhimu sana, iwe ya kununua, ya kujenga, au ya kupanga
Kwako ni kwako muhimu ni kupapendaKupanga nyumba inawezekana ila kama una nafasi bora kujenga yakwako
Wengi wanapenda makubwa ndo mana wanachelewa kujenga, anza mdogomdogo mbona utafika.
Utafika sawa japo itachukua muda mrefuWengi wanapenda makubwa ndo mana wanachelewa kujenga, anza mdogomdogo mbona utafika.
Kawia ufike na pole pole ndio mwendoUtafika sawa japo itachukua muda mrefu
Mwendo wa kutoka Dar mpaka Moro hutegemea aina ya gari na uzoefu wa derevaKawia ufike na pole pole ndio mwendo