Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Binaadamu wameumbwa kusahauHawazijui haki zao kuna baadhi ya Binaadam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binaadamu wameumbwa kusahauHawazijui haki zao kuna baadhi ya Binaadam
Kusahau kusingekuwepo ingekuwa kila siku tunakumbuka Ugonjwa na KifoBinaadamu wameumbwa kusahau
Kifo kinaumiza kupita maelezoKusahau kusingekuwepo ingekuwa kila siku tunakumbuka Ugonjwa na Kifo
Maelezo marefu yanahitaji mukhtasariKifo kinaumiza kupita maelezo
Mukhtasari wa habari umebeba habari nzimaMaelezo marefu yanahitaji mukhtasari
Habari nzima ukute imejaa udaku mtupuMukhtasari wa habari umebeba habari nzima
@AbriannaMatumbo yaliyoshiba hayamkumbuki mwenye njaa
Abrianna anasoma darasa la saba, pls follow the rules of the game@Abrianna
Game la leo halieleweki najitoaAbrianna anasoma darasa la saba, pls follow the rules of the game
Najitoa mhanga kuhamia somaliaGame la leo halieleweki najitoa
Somalia ndipo alipozaliwa mrembo wangu AbriannaNajitoa mhanga kuhamia somalia
Abrianna ni mwenyeji wa Tarime😅😅Somalia ndipo alipozaliwa mrembo wangu Abrianna
Tarime kuna warembo visu vyakutishaAbrianna ni mwenyeji wa Tarime[emoji28][emoji28]
Kutisha kwa sabaya kumemtokea puaniTarime kuna warembo visu vyakutisha
Jamani tumekumiss pia, sijui ulienda wapiNimewamiss jamani
Nipo nawazoom tu 🤣Jamani tumekumiss pia, sijui ulienda wapi
Tu vidole tudogo tumeungua sanaNipo nawazoom tu [emoji1787]
Sana kwa sababu ya kuchoma maandaziTu vidole tudogo tumeungua sana