HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Jamaa yetu anapenda sana kulaTumbo la kuhara limempata jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yetu anapenda sana kulaTumbo la kuhara limempata jamaa
Kula ni uhaiJamaa yetu anapenda sana kula
Uhai ni pamoja na Maji, Maji ni uhaiKula ni uhai
Nalog off
Uhai una thamani kubwaUhai ni pamoja na Maji, Maji ni uhai
Kubwa sana ila wagumu kuelewaUhai una thamani kubwa
Kuelewa kwake kulichukua muda sanaKubwa sana ila wagumu kuelewa
Sana, hasa somo la hesabuKuelewa kwake kulichukua muda sana
Hesabu ndiyo chanzo cha mipangoSana, hasa somo la hesabu
Mipango sio matumiziHesabu ndiyo chanzo cha mipango
Matumizi ya serikali yalikuwa mabovu awamu iliyopitaMipango sio matumizi
Iliyopita awamu ilikua ya mwendazakeMatumizi ya serikali yalikuwa mabovu awamu iliyopita
Nalog off
Mwendazake kawa gumzo la kufungua mwakaIliyopita awamu ilikua ya mwendazake
Mwaka umekua wa amani bila yeyeMwendazake kawa gumzo la kufungua mwaka
Yeye anapenda sana kunyonywaMwaka umekua wa amani bila yeye
Kunyonywa nini tenaYeye anapenda sana kunyonywa
Tena anapenda mida ya asubuhiKunyonywa nini tena
Asubuhi mnatakiwa kuwahi kazini acheni hayo mambo[emoji28][emoji28]Tena anapenda mida ya asubuhi
Asubuhi mnatakiwa kuwahi kazini acheni hayo mambo[emoji28][emoji28]
Huko kutakua mkuu mpyaMambo yote ni Mwanza kuanzia kesho maana mama Anaanza ziara huko
Mpya hata wiki hajamaliza ofisiniHuko kutakua mkuu mpya