Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Unasemaje? Inategemea unaitumia lwa sentence gani, too much, very much zote zina maana hiyoMno kwa kiingereza unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje? Inategemea unaitumia lwa sentence gani, too much, very much zote zina maana hiyoMno kwa kiingereza unasemaje?
Hiyo ni kali nilikuwa sijui km ndio hivyo.Unasemaje? Inategemea unaitumia lwa sentence gani, too much, very much zote zina maana hiyo
Hivyo ulivyo Mshukuru Mungu kwa uumbaji wakeHiyo ni kali nilikuwa sijui km ndio hivyo.
Wake kwa waume sote tuliumbwa na yeyeHivyo ulivyo Mshukuru Mungu kwa uumbaji wake
Yeye ni mweza wa yoteWake kwa waume sote tuliumbwa na yeye
Yote yaliyopo ardhini na mbinguni ameyaomba yeyeYeye ni mweza wa yote
Yeye anasema ardhi na mbingu ni mali yakeYote yaliyopo ardhini na mbinguni ameyaomba yeye
Yeye Mungu ni pekee hakuzaa wala hakuzaliwa na ndiye aliyetuumba sisiYote yaliyopo ardhini na mbinguni ameyaomba yeye
Sisi tunataka katiba mpyaYeye Mungu ni pekee hakuzaa wala hakuzaliwa na ndiye aliyetuumba sisi
Nalog off
Katiba mpya sio matwaka ya rais bali ni Wajibu wetu kuidai na si kuiombaSisi tunataka katiba mpya
Kuiomba ni kosa tunatakiwa kudai kwa nguvuKatiba mpya sio matwaka ya rais bali ni Wajibu wetu kuidai na si kuiomba
Nalog off
Nguvu lazima itumike ili kuidai haki yakoKuiomba ni kosa tunatakiwa kudai kwa nguvu
Yako haki ni wajibu wa serikali kukupatiaNguvu lazima itumike ili kuidai haki yako
Nalog off
Kukupatia haki yako bila kufanya jitihada za kuidai hilo sahauYako haki ni wajibu wa serikali kukupatia
Sahau kuhusu maisha ya tabu, tafuta pesaKukupatia haki yako bila kufanya jitihada za kuidai hilo sahau
Pesa ndio chanzo cha maovu mengi hapa dunianiSahau kuhusu maisha ya tabu, tafuta pesa
Duniani amani inapotea, vita na magonjwa vimetawalaPesa ndio chanzo cha maovu mengi hapa duniani
Vimetawala kweli, ila magonjwa yasiyo ambukiza hukwepeka kwa kufanya mazoeziDuniani amani inapotea, vita na magonjwa vimetawala
Mazoezi huimarisha mwili na afyaVimetawala kweli, ila magonjwa yasiyo ambukiza hukwepeka kwa kufanya mazoezi
Afya njema ni muhimu kwa kila mtotoMazoezi huimarisha mwili na afya