Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Zake kauli na matendo yalikua katiliWengi wamepata ahueni baada ya yule bwana kwenda zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zake kauli na matendo yalikua katiliWengi wamepata ahueni baada ya yule bwana kwenda zake
Katili wa kwenye Filamu mara nyingi sura zao zinaendana na ule ukatili waoZake kauli na matendo yalikua katili
Mdananda, kucheza kwake kupoje?Wao wanacheza yope sisi tunacheza mdananda
Wetu beki tatu ni mzuriKupoje ni jina la beki tatu wetu.
Mzuri wa umbo na suraWetu beki tatu ni mzuri
Nalog off
Sura hata mbuzi anayo watu wanaangalia wowowo.Mzuri wa umbo na sura
Wowowow limewaponza wengiSura hata mbuzi anayo watu wanaangalia wowowo.
Akili ni nywele kila mtu ana zake
Zake hazimtoshi anaishia kuazimaAkili ni nywele kila mtu ana zake
Kuazima haisititiri
Kuazima akili haijawahi tokea
Tokea juzi naona hujarudi nyumbaniKuazima akili haijawahi tokea
Nalog off
Nyumbani ni tanzaniaTokea juzi naona hujarudi nyumbani
Tanzania ni zao la TanganyikaNyumbani ni tanzania
Tokea uhamie ccm umekua hovyoKuazima akili haijawahi tokea
Nalog off
Hovyo sana hawa wezi wa pikipikiTokea uhamie ccm umekua hovyo
Pikipiki ni usafiri nisioukubali kabisaHovyo sana hawa wezi wa pikipiki