Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Burundi na Rwanda ilikuwa yetu TanganyikaMwenzio anawaamrisha wasiopenda kulipa hii tozo mpya ya miamala aende Burundi
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burundi na Rwanda ilikuwa yetu TanganyikaMwenzio anawaamrisha wasiopenda kulipa hii tozo mpya ya miamala aende Burundi
Nalog off
Tanganyika ya zamani lazima tuirudisheBurundi na Rwanda ilikuwa yetu Tanganyika
Tuirudishe Shirika la umma au siasa za ujamaaTanganyika ya zamani lazima tuirudishe
Nalog off
Ujamaa ilikua sera ya NyerereTuirudishe Shirika la umma au siasa za ujamaa
Nyerere anatajwa kama mkombozi wa Africa.Ujamaa ilikua sera ya Nyerere
Africa ina viongozi wenye tamaaNyerere anatajwa kama mkombozi wa Africa.
Tamaa kuiga temboAfrica ina viongozi wenye tamaa
Tembo ni HarmonizeTamaa kuiga tembo
Harmonize amezibukaTembo ni Harmonize
Amezibuka masikio alipopigiwa bombaHarmonize amezibuka
Bomba LA majitaka limevujisha taka.Amezibuka masikio alipopigiwa bomba
Takataka za wamachinga na mamalishe zimezagaa barabarani inaleta kero na adha.Bomba LA majitaka limevujisha taka.
Adha hiyo itatatuliwa na wananchi sio serikaliTakataka za wamachinga na mamalishe zimezagaa barabarani inaleta kero na adha.
Serikali ya awamu ya sita kauli mbiu yake, kazi iendeleeAdha hiyo itatatuliwa na wananchi sio serikali
Kazi iendelee ni kauli mbiu ya kusadikikaSerikali ya awamu ya sita kauli mbiu yake, kazi iendelee
Kusadikika ni kitu kisichoonekanaKazi iendelee ni kauli mbiu ya kusadikika
Kitu kisichoonekana hakina maanaKusadikika ni kitu kisichoonekana
Rasilimali zilizopo lazima ziainishwe na kutafutiwa soko hivyo basi tusikumbatie na kuhodhi ilimradi tunazo tu, Muhimu tuje na mbinu za mauzo ili tupate kujinasua umasikini tuliyonao!!!!Wadau wangu naombeni support
Utangulizi
Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha... Story of Change - Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo
Umaskini yulionao unachangiwa na mfumo mbovu, msisahau kuipigia kura mada yanguRasilimali zilizopo lazima ziainishwe na kutafutiwa soko hivyo basi tusikumbatie na kuhodhi ilimradi tunazo tu, Muhimu tuje na mbinu za mauzo ili tupate kujinasua umasikini tuliyonao!!!!