Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Matofali elfu moja yanatosha kujengea nyumba?Mwili haujengwi kwa matofali
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matofali elfu moja yanatosha kujengea nyumba?Mwili haujengwi kwa matofali
Matofali elfu moja yanatosha kujengea nyumba?
Nalog off
Amani, furaha na upendo vitawale kwenye yetu maishaNyumba bora hujengwa na upendo pamoja na Amani
Amani, furaha na upendo vitawale kwenye yetu maisha
kasi ya kidigitaliMaisha yanakwenda kasi
kasi ya kidigitali
ajabu lakini haishangaziKidigitali na spidi ya ajabu
ajabu lakini haishangazi
wanyonge ni sera ya mwendazakeHaishangazi kuona tunaitwa wanyonge
Mwendazake tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea wananchiwanyonge ni sera ya mwendazake
wananchi wa Tanzania wanamkumbuka hasa kwenye kusimamia rasilimali za nchiMwendazake tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea wananchi
Nchi ni serikali ongeza raia kukubalika kama Taifawananchi wa Tanzania wanamkumbuka hasa kwenye kusimamia rasilimali za nchi
Taifa huru hujali maslahi ya watu wakeNchi ni serikali ongeza raia kukubalika kama Taifa
Wake wa kizazi kipya wanauvumilivu sana kutunza ndoa zao !!Taifa huru hujali maslahi ya watu wake
Zao kazi ni kutusema sisiWake wa kizazi kipya wanauvumilivu sana kutunza ndoa zao !!
Sisi ndio sisi,Zao kazi ni kutusema sisi
Sisi hatutumii lugha ngumuSisi ndio sisi,
Sisi ndio dege la jeshi,
Wengine wote wazushi,
Hatubahatishi sisi.
Nalog off
Kumeza ni nini?Ngumu kumeza
Nini kilichomponza kuku kwa jogoo ?Kumeza ni nini?