fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Jogoo la shamba haliwiki mjiniNini kilichomponza kuku kwa jogoo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jogoo la shamba haliwiki mjiniNini kilichomponza kuku kwa jogoo ?
Mjini kuna mengiJogoo la shamba haliwiki mjini
Mengi mtasikia ila yachujeni mupate chanya..Mjini kuna mengi
Chanya na Hasi jinsi ya kuzidishaMengi mtasikia ila yachujeni mupate chanya..
Kuzidisha chumvi kwenye chakula huharibu ladhaChanya na Hasi jinsi ya kuzidisha
Ladha ya chakula ni pamoja na mapishi, mapishi yakiwa mabovu huwezi kukifurahia chakulaKuzidisha chumvi kwenye chakula huharibu ladha
Chakula gani wakipenda?Ladha ya chakula ni pamoja na mapishi, mapishi yakiwa mabovu huwezi kukifurahia chakula
Wakipenda waje kujumuika nasi hapa jamviniChakula gani wakipenda?
Jamvini hukaa wanaume na wanawake hukaa kwenye mkekaWakipenda waje kujumuika nasi hapa jamvini
Mkeka umechanika huko, WADAU wanalia na ArsenalJamvini hukaa wanaume na wanawake hukaa kwenye mkeka
Nalog off
Arsenal wakagombee kombe la mbuziMkeka umechanika huko, WADAU wanalia na Arsenal
Mbuzi ananyama tamu sanaArsenal wakagombee kombe la mbuzi
Sana zaidi minofu ya Samaki wa ziwa Victoria...Mbuzi ananyama tamu sana
Victoria ni mke wa Beckham mwenye nahari zake dunianiSana zaidi minofu ya Samaki wa ziwa Victoria...
Duniani kuna nchi ngapi kwani, anayejua anifahamisheVictoria ni mke wa Beckham mwenye nahari zake duniani
Anifahamishe kuhusu Chanjo ya Corona maana naona mapicha squareDuniani kuna nchi ngapi kwani, anayejua anifahamishe
Square one... kwa uelewa wangu ndg. Lenie jibu la suali lako ni takriban kuna 195 NationsAnifahamishe kuhusu Chanjo ya Corona maana naona mapicha square
Rafiki ni Swahiba mlieshibana na kufichiana siri...173 Nations, woow kumbe zipo nyingi hivi, shukrani rafiki
Siri ni ya watu wawili, akiongezeka watatu hiyo si siri tenaRafiki ni Swahiba mlieshibana na kufichiana siri...