HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Aoge kabla ya kwenda kulalaJasho lina harufu mbaya inabidi aoge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aoge kabla ya kwenda kulalaJasho lina harufu mbaya inabidi aoge
Kulala ndo muda huu kesho mungu akijaalia uzimaAoge kabla ya kwenda kulala
Mawazo hayawezi kuisha na hizi Kodi zinazopanda kila sikulock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Uzima wa milele ndio huuKulala ndo muda huu kesho mungu akijaalia uzima
Uzima wa mwili hautoshi bila furahaKulala ndo muda huu kesho mungu akijaalia uzima
Furaha ya kuzaliwaUzima wa mwili hautoshi bila furaha
Kuzaliwa kwake Yesu ilikuwa tarehe ganiFuraha ya kuzaliwa
Tarehe gani hiyo mbona siikumbuki?Kuzaliwa kwake Yesu ilikuwa tarehe gani
Siikumbuki vizuri ilikua lini, nakumbuka tu sherehe ilijaa vinywaji na vyakulaTarehe gani hiyo mbona siikumbuki?
Nalog off
Kupaka mafuta mwilini usiku wakati wa kulala hukinga mwili dhidi ya magonjwa
Magonjwa ya zinaa yalinitesaKupaka mafuta mwilini usiku wakati wa kulala hukinga mwili dhidi ya magonjwa
Yalinitesa vikurutu vya mwasho !!Magonjwa ya zinaa yalinitesa
Nalog off
Mwasho wa chini ni balaa,unakutia aibu mbele za watuYalinitesa vikurutu vya mwasho !!
Watu wengi hawajitunzi ktk masialaya mwonekano maridadi...Mwasho wa chini ni balaa,unakutia aibu mbele za watu
Nalog off
Mwonekano maridadi huficha umaskiniWatu wengi hawajitunzi ktk masialaya mwonekano maridadi...
Umasikini ungelikwa kiumbe ningeupiga panga !!Mwonekano maridadi huficha umaskini
Nalog off
Panga lenye makali ni silaha toshaUmasikini ungelikwa kiumbe ningeupiga panga !!