mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 616
Ukawa tulipigwa au raia mnasemaje?Wananchi waliongeza heshima kwa Lowassa alipokatwa CCM na kuja kuweka kambi UKAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukawa tulipigwa au raia mnasemaje?Wananchi waliongeza heshima kwa Lowassa alipokatwa CCM na kuja kuweka kambi UKAWA
Mnasemaje upande wenu?Ukawa tulipigwa au raia mnasemaje?
Sana, nilikua namkubali ila ndio hivyo wenye nguvu wakamuweka pembeniMnasemaje upande wenu?
Ule Uchaguzi ulikuwa wa kihistoria, Lowassa alipata wafuasi wengi sana
Pembeni kaa kupisha wengineSana, nilikua namkubali ila ndio hivyo wenye nguvu wakamuweka pembeni
Wengine wapo mapumziko leo, wacha tuliendeleze libenekePembeni kaa kupisha wengine
Libeneke mpaka kukucheWengine wapo mapumziko leo, wacha tuliendeleze libeneke
Kukuche Libeneke oyeeeLibeneke mpaka kukuche
HoyeeeeeeKukuche Libeneke oyeee
Hoyeeeeee.Hoyeeeeee
Liverpool ni timu ya wazee,we timu ina karibu miaka miaHoyeeeeee.
Mashabiki wa kabumbu wanailalamikia ile Kadi nyekundu aliyopewa James wa Chelsea dhidi ya Liverpool
Miaka Mia Moja na Ishirini na Tisa, kwa tarakimu129Liverpool ni timu ya wazee,we timu ina karibu miaka mia
129 ni mingi mno. Hii Liverpool ni timu kongweMiaka Mia Moja na Ishirini na Tisa, kwa tarakimu129
Timu Kongwe Ligi kuu Uingereza: Everton, Manchester United, Spurs, Manchester City, Arsenal129 ni mingi mno. Hii Liverpool ni timu kongwe
Arsenal wabovuTimu Kongwe Ligi kuu Uingereza: Everton, Manchester United, Spurs, Manchester City, Arsenal
Wabovu kuliko liverpoolArsenal wabovu
Anfield upo WingerezaLiverpool uwanja wao unaitwa anfield.
Abriana anatudanganya kichizi yaaniWingereza ndo wapi huko Tena we Abriana?
Yaaani anaupiga mwingi hatariAbriana anatudanganya kichizi yaani