HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Wamepigwa goli ngapi?Mabadiliko kwa uto hayana faida kama mechi tu ya utambulisho wamepigwa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Naomba matokeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa goli ngapi?Mabadiliko kwa uto hayana faida kama mechi tu ya utambulisho wamepigwa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Matokeo yake kiukweli hayaridhishi, itabidi tumuhamishe ile shuleWamepigwa goli ngapi?
Naomba matokeo
Shule hizi za elimu bure, matako chini!Matokeo yake kiukweli hayaridhishi, itabidi tumuhamishe ile shule
Chini ya kiwango ni Mateso kwa mwanafunzi...Shule hizi za elimu bure, matako chini!
Mwanafunzi bora ni yule anayeweka juhudi katika masomoChini ya kiwango ni Mateso kwa mwanafunzi...
Masomo ya elimu kwa vijana wetu panahitajika ushirikiano wa dhati wa wazazi na waalimu...Mwanafunzi bora ni yule anayeweka juhudi katika masomo
Waalimu wengi walipata division 3 & 4Masomo ya elimu kwa vijana wetu panahitajika ushirikiano wa dhati wa wazazi na waalimu...
Division 3&4 ndio madaraja ambayo wengi wa wanafunzi huangukia.Waalimu wengi walipata division 3 & 4
Huangukia pua zao kwa sbb uzembe,mchezo na dharau wanapo kuwa darasani...Division 3&4 ndio madaraja ambayo wengi wa wanafunzi huangukia.
Darasani kule Korea nilikosoma degree yangu nilikuwa kichwa sana Hadi wa korea walisalimu amri.Huangukia pua zao kwa sbb uzembe,mchezo na dharau wanapo kuwa darasani...
Amri zote zipo kwa wife sifurukuti.....Darasani kule Korea nilikosoma degree yangu nilikuwa kichwa sana Hadi wa korea walisalimu amri.
Sifurukuti kwa huyu mtoto wa kinyamboAmri zote zipo kwa wife sifurukuti.....
Kinyambo ni kabila au Tabia au ukoo au madaraka???Sifurukuti kwa huyu mtoto wa kinyambo
Madaraka ya kulevya kama yule macho malegevuKinyambo ni kabila au Tabia au ukoo au madaraka???
Malegevu ktk upasuaji wa Tiba kutaweza leta majangaMadaraka ya kulevya kama yule macho malegevu
Majanga tu majanga Seven yanaendelea ni wimbo mzuri ulioimbwa na kundi lá Seven survivalMalegevu ktk upasuaji wa Tiba kutweza leta majanga
Survival in the heart dust in the face !!Majanga tu majanga Seven yanaendelea ni wimbo mzuri ulioimbwa na kundi lá Seven survival
Face book is for wafanyabiasharaSurvival in the heart dust in the face !!
Wafanyabiashara tunawsihi wawe wakweli waache kughushi bidhaa feki...Face book is for wafanyabiashara
Bidhaa feki nyingi zinatokea UchinaWafanyabiashara tunawsihi wawe wakweli waache kughushi bidhaa feki...