Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Uchina huko ndo kwenye bei rahisiBidhaa feki nyingi zinatokea Uchina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchina huko ndo kwenye bei rahisiBidhaa feki nyingi zinatokea Uchina
Bei rahisi ndio mkombozi wetu sisi maskiniUchina huko ndo kwenye bei rahisi
Bei rahisi ndio mkombozi wetu sisi maskiniUchina huko ndo kwenye bei rahisi
Sisi masikini nguvu zetu ndio mtaji wetuBei rahisi ndio mkombozi wetu sisi maskini
Mtaji wetu sisi maskini ni mdogoSisi masikini nguvu zetu ndio mtaji wetu
Mdogo mdogo ipo siku kitaelewekaMtaji wetu sisi maskini ni mdogo
Kitaeleweka huku mnajaziwa matozo kila kukichaMdogo mdogo ipo siku kitaeleweka
Kila kukicha mambo mapya yanaibukaKitaeleweka huku mnajaziwa matozo kila kukicha
Yanaibuka kwasababu kila mtu anajifanya yeye ndiye Rais!Kila kukicha mambo mapya yanaibuka
Rais ni mtu anahitaji kuheshimiwa na kila mtuYanaibuka kwasababu kila mtu anajifanya yeye ndiye Rais!
Kila mtu ktk taifa letu adhimu akilipa walau elf kumi kwa mwaka tutapita hatuwa ndefu!!Rais ni mtu anahitaji kuheshimiwa na kila mtu
Ndefu kama hapa na wapi?Kila mtu ktk taifa letu adhimu akilipa walau elf kumi kwa mwaka tutapita hatuwa ndefu!!
Wapi inapatikana kibarua ?Ndefu kama hapa na wapi?
Kibarua kinahitaji nguvu ya ziadaWapi inapatikana kibarua ?
Ziada haihitajiki kila sehemuKibarua kinahitaji nguvu ya ziada
Sehemu mojawapo ya nchi ni katibaZiada haihitajiki kila sehemu
Katiba mpya inahitajika sana na wapinzani lakini na kwa maendeleo ya Nchi kama kutoa wabunge wa viti maalumu kutapunguza matumizi ya pesa kwa serikaliSehemu mojawapo ya nchi ni katiba
Serikali inapaswa iliangalie hiliKatiba mpya inahitajika sana na wapinzani lakini na kwa maendeleo ya Nchi kama kutoa wabunge wa viti maalumu kutapunguza matumizi ya pesa kwa serikali
Hili hawawezi kulizangatia kwasababu linagusa maslahi yao pakubwaSerikali inapaswa iliangalie hili
pakubwa? Ni majukumu yao kutekeleza matakwa ya wananchi wao maana ndio wamewaweka mjengoniHili hawawezi kulizangatia kwasababu linagusa maslahi yao pakubwa