supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Saba ndio namba anayovaa cristian ronaldoNgapi? Nadhani ni saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saba ndio namba anayovaa cristian ronaldoNgapi? Nadhani ni saba
Ronaldo aliachana na mke wake kisa mama yakeSaba ndio namba anayovaa cristian ronaldo
Mama yake na Zamiluni Zamiluni, Ana hasara mtoto wake muda wote yumo humu jamii forum.Ronaldo aliachana na mke wake kisa mama yake
Forum unapata elimu mbalimbaliMama yake na Zamiluni Zamiluni, Ana hasara mtoto wake muda wote yumo humu jamii forum.
Mbalimbali yakukwepa mikusanyiko yanalinda maambukizi yasiwasibu !!Forum unapata elimu mbalimbali
Yasiwasibu maswahibu kwa aibuMbalimbali yakukwepa mikusanyiko yanalinda maambukizi yasiwasibu !!
Aibu iliyoje mwanangu kuniangusha..Yasiwasibu maswahibu kwa aibu
Kuniangusha kwake kulinifanta nijifunze wapi nilikosea ili nisirudie tenaAibu iliyoje mwanangu kuniangusha..
Nisirudie tena kumwamini ...Kuniangusha kwake kulinifanta nijifunze wapi nilikosea ili nisirudie tena
Kumwamini Nani Tena wewe Zamiluni Zamiluni.Nisirudie tena kumwamini ...
Zamiluni ni mdau muhimu kwenye huu uziKumwamini Nani Tena wewe Zamiluni Zamiluni.
Zamiluni zamiluni, Lenie, Baki, Abrianna, Harufu, Diss Mendy, Mf Na sasa wewe ni TibalikwendaKumwamini Nani Tena wewe Zamiluni Zamiluni.
Uzi huu uliaazia mwaka ganiZamiluni ni mdau muhimu kwenye huu uzi
Mwaka gani alizaliwa mwanaoUzi huu uliaazia mwaka gani
Mwanao alifanana na wewe ama baba yake?Mwaka gani alizaliwa mwanao
Magazijuto ni hesabu rahisi sana ila zinahitaji umakini"Gani" Ni jina fupi (Nick name) alilokuwa anaitwa mwalimu wetu mwaka 1972 wa hesabu za Magazijuto...
Umakini wako katika kufanya mambo ndio utakufikisha mbali.Magazijuto ni hesabu rahisi sana ila zinahitaji umakini
Mbali sana kwa kina AbrianaUmakini wako katika kufanya mambo ndio utakufikisha mbali.
Abriana ni mwanamke mzuriMbali sana kwa kina Abriana